Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI SelemaniJafowakivutautepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingimradi wa ujenzi wa Barabara za lamizenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kuwekajiwe la msingimradi wa ujenzi wa Barabara za lamizenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI SelemaniJafowakivutautepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingimradi wa ujenzi wa Barabara za lamizenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya MaafisaTarafa wa Wilaya Mbalimbali ambaowalikabidhiwaPikipiki ili ziwezekuwasaidia katika kazi zao za kila siku. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za MakaoMakuu ya TARURA mjini Dodoma
Picha na IKULU 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.