Habari za Punde

ZUCHU ANOGESHA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI KIBAMBA-KISARAWE MKOA WA PWANI

Mwanamuziki anayekuja juu kwa kasi Zuhra Kopa maarufu kama ZUCHU akitumbuiza kwa mara ya kwanza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mjini Kisarawe mkoa wa Pwani leo Jumapilio Juni 28, 2018. Zuchu anayetamba na kibao chake cha hamasa cha CCM ya MAGUFULI ni binti wa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omar Kopa


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.