Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama Cha ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed Amechukua Fomu ya Kugombea Urais ZEC.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe. Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar.Hamid Mahmoud Hamid akimkabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed, alipofika Ofisi za Tumu ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya uchukuaji wa fomu.     
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jaji Mkuu Mstaaf wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kwa mgombea Urais wa Chama cha ADC Mhe. Hamad Rashid Mohammed, alipofika  Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya zoezi hilo la uchukuaji wa Fomu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.