Habari za Punde

NAIBU WAZIRI AWESO AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA PANGANI


MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akiwa amebeba fomu za kuwania Ubunge Jimbo hilo akiwa njiani kuzirudisha ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Jimbo hilo mapema jana 25/8/2020.
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji  kulia akizirejesha fomu za kuwania kiti hicho leo kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Pangani Isaya Mbenje katikati anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Rajabu
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katika akiwa na kada wa CCM  Victoria Mwanziva kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George mara baada ya kurejesha
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katikati akiwa na  KATIBU Tawala wa wilaya ya Pangani (DAS) Mwalimu Hassani Nyange  kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George na wa kwanza kushoto ni kada wa  CCM  Victoria Mwanziva  mara baada ya kurejesha.

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu za kuwania Ubunge Jimbo la Pangani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.