Habari za Punde

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA MAOMBI YA KUGOMBEA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU 2020 MKWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATIKA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA NEC JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakipokea Seti moja ya Fomu ya Uteuzi 8A, Fomu namba 10 pamoja na Picha za Wagombea kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Fomu zake na kuzihakiki mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa Fomu zake na kuzihakiki mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akirudisha Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 25 Agosti, 2020.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage pamoja na Mkurugenzi wa NEC Dkt. Wilson Charles wakihakiki Fomu za Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufulikatika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akisaini Fomu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage (aliyesimama) akitangaza kumteua Mgombea wa kiti cha (Urais) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kurejesha fomu za uteuzi kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa jijini Dodoma.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.