Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Ameweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar na Kukabidhi Hati na Fungo Kwa Wanunuzi wa Nyumba Hizo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisoma Jiwe la Msingi la Ufunguzi  wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar, baada ya kuzifungua rasmin leo Jijini Zanzibar (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa (ZSSF.) Bi. Sabra Issa Machano, hafla hiyo imefanyika leo 21/9/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea nyumba hizo za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi Mradi huo na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfoko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano, wakati akitembelea moja ya nyumba hizo baada ya kuzifungua rasmin leo na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Sehemu ya thamani zilizomo katika nyumba hizo kama iunavyoonekana pichani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra Issa Machano na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibiu Unguja Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Khamis Mussa akizungumza na kutowa maelezo ya Kitaalum ya Ujenzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF Real Estate Zanzibar , hadi kukamilika kwa mradi huo. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wananchi katika hafla hiyo ya ufunguzi wa nyumba hizo Mbweni Jijini Zanzibar. 
Wageni waalikwa wakifuatila hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar. wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Nyumba hizo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar, uliofanyika katika eneo la nyumba hizo Mbweni Jijini Zanzibar.
Wageni waalikwa wakifuatila hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar. wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Nyumba hizo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi. 
Wajenzi wa Kampuni ya Ujenzi ya DEZO wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi huo wa Nyumba za ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar , wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) hafla hiyo ya ufunguzi imefanyika katika eneo la nyumba hizo Mbweni Jijini Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi ufungo na hati ya Nyumba mnunuzi wa moja ya nyumba za ZSSF Bi. Lucy Charles Alphonce wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mradi huo uliofanyika leo katika viwanja nyumba hizo mbweni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi ufungo mmoja wa wanunuzi wa nyumba hizo Bwa.Hamid Khamis Othman wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mradi huo uliofanyika leo katika viwanja nyumba hizo mbweni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi fungo za moja ya nyumba hizo mnunuzi Bwa. Talib Mfaume Hassan, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa nyumba hizo uliofanyika Mbweni Jijini Zanzibar.
Wageni waalikwa wakifuatila hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar. wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Nyumba hizo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu na Wafanyakazi wa ZSSF baada ya kumalizika kwa hafla ya ufuguzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa meza kuu na Wafanyakazi wa ZSSF baada ya kumalizika kwa hafla ya ufuguzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na kuagana Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Sabra  Issa Machano baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar  na (kulia ) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Khamis Mussa na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.