MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla (katikati), akulia ni Katibu Tawala Mkoa
huo Abdalla Rashid Abdalla na kushoto ni Afisa Mdhamini Wizara ya Vijana
Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, wakiimba wimbo maalumu wa Taifa,
kabla ya kufungua kongamano la vijana wa mikoa iwili ya Pemba, lililofanyika
huko Mabaoni Wilaya ya Chake Chake.
AFISA Mdhamini Wizara
ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, akiwasilisha mada
wakati wa kongamano la Vijana wa Mikoa miwili ya Pemba, lililofanyika Mabaoni
nje kidogo ya Mji wa Chake Chake.
MKUU wa Mkoa wa
Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akifungua kongamano la Vijana wa Mikoa
miwili ya Pemba, huko Mabaoni nje kidogo ya Mji wa Chake Chake
BAADHI ya Vijana wa Mikoa miwili ya Pemba, wakinyoosha mikono
juu kuashiria kuwa wapo tayari kumchagua Mgombea urais wa Zanzibar Kupitia
chama cha Mapinduzi Zanzibar DK.Husein Ali Mwinyi, wakati wakongamano la Vijana
lililofanyika Mabaoni nje ya kidogo ya Mji wa Chake Chake.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment