Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk Ali Mohamed Shein Ameongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiuwandui Jijini Zanzibar.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Zanzibar, Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein  na (kulia kwake ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto ) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi wakiwa wamesimama walipowasili katika ukumbi wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

WAJUMBE Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati wa kuingia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba MheDk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar


NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCK Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Balozi Seif Ali Iddi. 
WAJUMBE Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia makamrasha yao kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar 
WAJUMBE Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia makamrasha yao kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf wa Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.