Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Atembelea Eneo la Ghala la Kihufadhia Mizigo na Makontena la Shirika la Bandari Zanzibar Saateni Jijini Zanzibar leo.4/11/2020.i t

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Naibu Kamishna TRA Zanzibar, Ndg. Mcha Hassan Mcha na Meneja Idara ya Forodha Zanzibar Ndg.Ali Bakari Ame, wakati wa ziara yake kutembelea eneo la kuhifadhia mizigo la Shirika la Bandari Zanzibar  Saateni Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Ndg. Khamis Mussa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg, Shomar Omar Shomar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea eneo lililojengwa Ghala  la kuhifadhia mizingo na Makonteni  Saateni Jijini Zanzibar leo 4/11/2020, akiwa na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar na wa TRA Zanzibar. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein  Ali Mwinyi  akisisitiza jambo wakati wa ziara yale leo 4/11/2020 akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar alipotembelea  eneo lililojengwa ghala la kuhifadhia mizigo  na makontena la Shirika la Bandari Zanzibar eneo la Saateni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.