Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Awaapisha Mawaziri Wapya Aliowateua Hivi Karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika viwanja vya Ikulu leo 21/11/2020. 

 
RAIS  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Afisi ya Rais,Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman akila kiapo katika hafla ya kuapishwa iliofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Jamali Kassim Ali, hafla hiyo ya kuapisha imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.,Mhe. Masoud Ali Mohammed, halya hiyo ya kuapishwa imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan  Soraga, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimuapisha Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe. Riziki Pembe Juma, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Mohammed Said, wakati wa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuap[isha Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Mwita Maulid akiapishwa katika hafla hiyo iliofanyika  katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe. Dkt. Soud Nahoda Hassan, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika  viwanja vya Ikulu Jijini Z(katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Maji na Nishati Mhe.Suleiman Masoud Makame, hafla hiyo imefanyika katika viwanja  vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee. 


RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.Abdalla Hussein Kombo, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 21/11/2020. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe. Rahma Kassim Ali, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.


 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Lela Mohammed Mussa, wakati wa hafla hiyo ya kuapishwa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.