Habari za Punde

Timu ya Hard Rock yakabidhiwa msaada wa vifaa vya michezo


AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, akimkabidhi mipira, Stockings (Soksi) na seti moja ya Jezi kepteni wa timu ya Hard Rock Emmanuel Balele, ambayo ni timu pekee inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar kutoka Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.