Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akimsikiliza Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (katikati), wakati wa ziara ya ukaguzi wa huduma za Kiuhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), wakati wa ziara ya ukaguzi wa mradi wa ukarabati wa nyumba za askari polisi wa uhamiaji(zinazoonekana pichani), zilizopo Kiembe Samaki,Visiwani Zanzibar. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri Dkt.Tax amkabidhi gari jipya Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu
Jenerali Sarakikya
-
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence
Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwa...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment