Habari za Punde

Rais Dkt Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini DodomaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza kikao cha kwanza cha  Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein  Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa
Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodomaleo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri  la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzaniajijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

PICHA NA IKULU
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.