Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mkutano na wafanyabiashara wa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga wakati alipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo.[Picha na Ikulu.] 05/12/2020.

 Wafanyakazi wa Taasisi mbali  mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa  katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.

Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali wakisikiliza mada zilizotolewa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza mazungumzo ya pamoja na Wafanyabishara wa Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar wakiwepo  Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (watatu kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman  Abdulla (wa tatu kushoto) pamoja na Viongizi wengine .[Picha na Ikulu.] 05/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman  Abdulla na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga. [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.

 Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali  uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 05/12/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.