Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) imesema imebaini kupotea kwa takriban shilingi Bilioni tatu zilizodaiwa kutumika katika mradi wa Ujenzi wa Jumba la Treni
Ubadhirifu huo unaambatanisha pia kuwepo kwa manunuzi ambayo hayajafata taratibu.
No comments:
Post a Comment