Meneja Uhusiano Shirika la Bila la Taifa Tanzania NIC Ndg. Karimu Meshack akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Erick Kwizera baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo kati ya Namungo na Jamuhuri uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa ZFF Ndg. Salum Ubwa akimpongeza Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Erick Kwizera baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo kati ya Jamuhuri na Namungo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Shirika la Bima la Taifa Tanzania linawazawadia Wachezaji Bora wa Michezo ya Kombe la Mapinduzi Cup.
No comments:
Post a Comment