Habari za Punde

Mkutano wa Jukwaa la Bajeti na Uchumi kwa mwaka 2021/ 2022

Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Khamis Mussa Omar (alieshika maiki) akifungua Mkutano wa Jukwaa la Bajeti na Uchumi kwa mwaka 2021/ 2022 uliofanyika katika ukumbi wa BOT Mjni Zanzabar.

 Baadhi ya wajumbe wa  Jukwaa la Bajeti na Uchumi wakifuatilia hutuba ya  Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar alipokuwa akifungua Jukwaa hilo.
 Baadhi ya wajumbe wa  Jukwaa la Bajeti na Uchumi wakifuatilia hutuba ya  Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar alipokuwa akifungua Jukwaa hilo.
Afisa kutoka  Afisi ya Rais Fedha na Mipango Saleh Saad Mohamed akitoa Mada ya Mapitio na Muelekeo wa Uchumi wa Zanzibar katika jukwaa la Bajeti na Uchumi kwa mwaka 2021/ 2022 lililofanyika Ofisi za BOT Kinazini Mjini Zanzibar.
 Afisa Mdhamini Elimu Pemba Moh'd Nasaar Salim akichangia kuhusu kuongeza fedha katika sekta ya Elimu ngazi ya msingi na maandalizi katika Jukwaa la Bajeti na Uchumi.

 Kamishna wa Bajeti Zanzibar Dkt. Suleiman Simai Msaraka akitoa ufafanuzi wa maswali aliyoulizwa kuhusu Bajeti ya Serekali katika Jukwaa la Bajeti na Uchumi. 


Picha na Makame Mshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.