Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awatembelea Mama Fatma Karume na Mzee Abdalla Rashid leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  Bi Fatma Karume alipofika nyumbani kwake Maisara Jijini Zanzibar kumtembelea na kumjulia hali yake, akiwa nyumbani kwake Maisara leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bi.Fatma Karume, wakati alipofika nyumbani kwake Maisara kwa mazungumzo na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na aliyekuwa Mshauri wa Rais wa Zanzibar Mzee Abdalla Rashid Abdaala, alipofika nyumbani kwake Kiembesamaki kumjulia hali yake na kuzungumza naye.(Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.