Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar kuhudhuriaufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa AFFORD uliofanyika leo Zanzibar. (kulia kwa Rais) KAIMU Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsi na Watoto ambae pia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Mohammed Said
WASHIRIKI wa Mkutano wa Mwaka wa mapitio ya wadau ya program ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga kwa Wazee (AFFORD) wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI
wa Mkutano wa Mwaka wa mapitio ya wadau ya program ya uwajibikaji na
utekelezaji wa huduma za kinga kwa Wazee (AFFORD) wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
NAIBU
Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bi.Chloe Horne akizungumza wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Mapitio ya Wadau wa Programu ya Uwajibikaji na
Utekelezaji wa Huduma za Kinga Jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
BAADHI
ya Wazee wa Jumuiya ya Wazee Wastaf Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa
Mkutano wa mwaka wa mapitio ya programu ya uwajibikaji na utekelezaji huduma za
kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde
Mtoni Jijini Zanzibar
MKURUGENZI
wa Shirika la Help Age International Tanzania Ndg.Smart Daniel akizungumza na
kuwashilisha salamu za Help Age wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wadau
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo
18-1-2021 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
MTOWA
Mada Ndg. Salum Mohammed akiwasilisha Mada kuhusiana na Mifumo ya Ulinzi wa
Jamii Barani Afrika, kwa kupitia mifano ya Mfumo wa Kinga ya Jamii Zanzibar,
akiwasilisha wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa mapitio ya Wadau,
uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akifuatilia Mada ya Mifumo ya Ulinzi wa Jamii Barani Afrika, kwa kupitia mifano
ya Mfumo wa Kinga ya Jamii Zanzibar, ikiwasilishwa na Ndg.Salum Mohammed
(hayupo pichani) (kushoto kwa Rais) Kaimu Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee
Jinsia na Watoto Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi wa
Shirika la Help Age International Tanzania Ndg. Smart Daniel na Naibu Balozi wa
Ireland Nchini Tanzania Bi. Chloe Horne
KAIMU
Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsi na Watoto ambae pia ni Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Mohammed Said, akizungumza kabla ya
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mapitio ya Wadau wa Programu
ya Uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za Kinga kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Viongozi wa Jumuiya ya Wazee Wastaaf Zanzibar wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi ya mkutano huo wa mwaka, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na
kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini
Zanzibar
WASHIRIKI
wa Mkutano wa Mwaka wa mapitio ya wadau ya program ya uwajibikaji na
utekelezaji wa huduma za kinga kwa Wazee (AFFORD) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi
wa mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
BAADHI
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa
mkutano wa mwaka wa Wadau (AFFORD) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na
kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini
Zanzibar
WASHIRIKI
wa Mkutano wa Mwaka wa mapitio ya wadau ya program ya uwajibikaji na
utekelezaji wa huduma za kinga kwa Wazee (AFFORD) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi
wa mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment