Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo 8.2.2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Marwa (kulia), kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma, Februari 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba (kulia) na Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson  Rweikiza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.