Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango afanya uteuzi wa bodi ya wakurugenzi PBZ

 TAARIFA KWA VYOMB VYA HABARI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Mheshimiwa Jamal Kassim Ali kwa mamlaka aliyopewa chini ya Sheria Mitaji ya Umma namba 4 ya mwaka 2002 na Ibara ya 6 ya Memorandu and Articles of Association ya Bank ya Watu wa Zanzibar amewateua wafuatao kuwa WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR.

1.     Ndugu Abdulrahman M. Said

2.     Ndugu Fahad Soud Hamid

3.     Ndugu Hussein Migoda Mataka

4.     Ndugu Khamis Jaffar Mfaume

5.     Dkt. Mohammed Hafidh Khalfan

6.     Dkt. Saleh Juma Rashid

 

IMETOLEWA NA IDARA HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.