Habari za Punde

Mama Fatma Karume Atoa Heshima Yake ya Mwisho Kwa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar marehemu Mzee Abeid Amani karume, akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Jumanne Machi 23, 2021
PICHA NA IKULU
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.