MBUNGE wa Jimbo la Mkoani Kisiwani Pemba Profesa
Makame Mnyaa Mbarawa, akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani)jinsi
gani banda jipya lenye vumba vitatu vya skuli ya Msingi Mkanyageni sehemu
litakapojengwa, baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya skuli hiyo pamoja na
skuli ya Michenzani vikiwa na thamani ya Milioni 31.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MBUNGE wa Jimbo la Mkoani Kisiwani Pemba Profesa
Makame Mnyaa Mbarawa (kulia), akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Michenzaji
Msingi Suleiman Ali Khamis, baadhi ya Mifuko ya saruji na Nondo kwa ajili ya
ujenzi wa banda lenye vyumba vinne vya kusomea wanafunzi, ujenzi huo ukienda
sambamba na skuli ya Mkanyageni ujenzi unatarajiwa kugharimu Milioni 31.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MBUNGE wa Jimbo la Mkoani Kisiwani Pemba Profesa
Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali
mbali vya habari, juu ya ujenzi wa banda la vyumba vitatu skuli ya Mkanyangeni
na Banda la Vyumba vinne skuli ya msingi Michenzani ujenzi wa manda yote
unatarajiwa kugharimu Milioni 31.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment