Habari za Punde

Naibu Spika BLW Mgeni rasmi katika sherehe za kutimiza miaka mitano kikundi cha Wireless Service Group

Naibu Spika Baraza la Wawakilishi Mhe Mgeni Hassan Juma akimkabidhi cheti ndugu Asya Mohammed Othman kutoka kikundi cha Wireless services group kuashiria kuhitimisha masomo ya uhifadhi wa huduma za vyakukla na vinywaji.

 Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Mgeni Hassan Juma akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa zawadi  ya Mlango wa Zanzibar uliotolewa na kikundi cha Wireless Service Group katika sherehe ya kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.