Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Ikulu leo

WAKUU wa Idara na Taasisi za Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar wakifuatilia mkutano wa uwasililishwa wa Taarifa ya Utekelezaji wa Maagizo ya Rais kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, yakiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Fatma Mabrouk, mkutano huo ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe.Lela Mohammed Mussa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuapisha Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Abdalla Mohammed, akitowa maelezo wa Taasisi yake wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Bi. Fatma Mbarouk Khamis, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu,na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.