Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Ikulu

KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar.Bi. Maryam Juma Sadala, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umeongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


Mkurugenzi wa Wakala wa Serekali wa huduma za matrekta na Zana za Kilimo Zanzibar Ndg. Affan Othman Maalim, akizungumza wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanziubar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  wakati wa mkutano huo kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, mkutano huo umefanytika leo katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, wakati wa kuripoti taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe.Dkt.Soud Nahoda Hassan, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI Wakuu wa Idara za Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, wakifuatilia mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Zanzibar Dkt.Kassim Gharib akitowa ufafanuzi wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatowa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.