Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Aelekea JijiniDodoma Kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman alipowasili ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Dodoma leo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Dr.Binilith Satano Mahenge, na Viongozi wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodioma akitokea Zanzibar leo kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.