Habari za Punde

Siwezi Kuvaa Viatu vya Maalim Seif - Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada kumalizika kwa hafla ya kuapisha iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 2-3-2021. 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar na kueleza hataweza kuvivaa viatu vya Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.