Habari za Punde

Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Simbachawene Awasalisha Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti Kwa Kipindi cha Mwaka 2020/2021 na Mpango wa Bajeti 2021/2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Chilo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala baada ya kumaliza Uwasilishaji waTaarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma
Inspekta Jenerali wa Polisi,Simon Sirro akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,Suleiman Mzee, akizungumza wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa za Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Kipindi cha Mwaka 2020/21 na Mpango wa Bajeti 2021/22 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.