Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia , wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (W.H.O) Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay alipofika ofisini kwake kumkabidhi ripoti ya kazi kwa kipindi cha miaka mitano juu ya maradhi ya mripuko ikiwemo Kipindupidu na Korona
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia , wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akipokea ripoti ya kazi kwa kipindi cha miaka mitano juu ya maradhi ya mripuko ikiwemo Kipindupidu na Korona kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni (W.H.O) Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay, makabdhiano hayo yalifanyika Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Unguja.
Picha na Talib Ussi
No comments:
Post a Comment