Habari za Punde

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto afanya ziara Hospitali ya Mnazimmoja

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na mmoja kati ya wagonjwa waliofika Hospital ya Mnazi MMoja kupata huduma mara baada ya kufika hospital hiyo kwa ajili ya kupata kuona maendeleo pamoja changamoto.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia , wazee na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na wataalamu wa kupima vimelea vya Korona katika Hospital ya Mnazi Mmja Zanzibar wakati wa ziara yake ya kwanza Tangu kuteuliwa Nafasi hiyo,  Mashine hiyo hupima Sampuli 94 za Korrona  kwa muda wa masaa saba lakini saa 24 hupima Sampuli 470.
 Picha na Talib Ussi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.