Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda afanya ziara ya ghafla kiwanda cha nguo cha Basra

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe Omar Said Shaaban akiangalia baadhi ya bidhaa ambazo zinazalishwa katika kiwanda cha Nguo kinachojulikana kwa jina la Basra kilichopo Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji. kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho Saleh Suleiman Hamad.


 Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe Omar Said Shaaban akitaka na kuhoji ili apate maelezo ya kina juu ya kusita kwa uzalishaji

 Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe Omar Said Shaaban akifahamishwa kitu na Mkurugenzi wa  kiwanda cha kuzalisha nguo cha Basra kilichopo  Muembe Makumbi Zanzibar alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kutaka kujua kwa nini kiwanda hicho kimesitisha uzalishaji.

Picha na Talib Ussi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.