Habari za Punde

ZANZIBAR YASIMAMA WAKATI MWILI WA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI ULIOPOPITISHWA MITAANI BAADA YA MAELFU KUMUAGA UWANJA WA AMAAN

Taswira mbalimbnali za Maelfu ya wananchi wa Zanzibar wakiwa wamejipanga barabarani  wakati mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli ulipokuwa unapelekwa Hiospitali ya Jeshi katika kitongoji cha Bububu baada ya kuagwa na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Amaan wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne Machi 23, 2021

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.