Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2021.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma
 Waziri wa Mawasiliano na Tekinolojia , Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, David Silinde, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 14, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.