Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma leo.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hillaly kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Makete, Festo Sanga Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.