Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Katibu Mtendaji wa SADC Ikulu Jijini Dodoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.