RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Ust Idrissa Matulubu,
baada ya kumaliza kwa Sala ya Adhuhuri ambapo alijumuika na Wafanyakazi wa Ofisi yake
katika Msikiti ulioko eneo la Ikulu Jijini
Zanzibar.
IAEA yajionea mageuzi ya utoaji huduma katika Taasisi ya Ocean Road
-
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kiufundi kwa Afrika Gashaw
Gebeyehu Wolde wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki
(IAEA)akizungumza na waandi...
3 hours ago
0 Comments