Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ahutubia Baraza la Eid El Fitry Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Msafara wa Mapikipiki ya Polisi  wakiongoza Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ukiwasili katika eneo la Jengo la Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka kwa gwaride maalum la Kikosi cha FFU, kwa ajili ya hafla ya Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.