Habari za Punde

Mkuu wa Mpya wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar KMKM Amefanya Ziara Kutembelea Katika Eneo la Timu ya KMKM Sports Club Maisara.

Mkuu wa Utawala na Fedha Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Capt. Khamis Taji Khamis akimsalimia Mkuu Mpya wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri alipofika Club ya kmkm kuona maeneo ya club hiyo ikiwa ni miongoni mwa ziara zake.
Katibu KMKM Sports Club Lutn. Sheha Muhammed Ali akimpa maelezo ya Club Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri alipofika kuona maeneo na mipaka ya Club Maisara Mjini Unguja.

Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri akitoa maagizo kwa Maafisa wa Kuu wake katika ziara zake ya kutembelea maeneo ya KMKM.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.