Habari za Punde

Waziri Mkuu Alhaj Kassim Majaliwa Amejumuika wa Waumini wa Kiislam Katika Ibada ya Sala ya Eid El Fitr Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Kadhi Mkuu, Sheikh Ali Muhiddini Mkoyogole akiongoza Swala ya Eid  kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.  Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa alishiriki katika Swala hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa , wa nne kulia ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally na wa pili kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad  Mussa Salim
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,  Abubakar Zubeir Ally katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sheikh wa mkoa wa Dar  es salaam, Alhad  Mussa Salim katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,  Abubakar Zubeir Ally katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.