Habari za Punde

Naibu Waziri Mhe.Khamis Hamza Chilo Awatembelea Majeruhi wa Ajali ya Basi la Classic Iliyoua Abiria Wane na Kujeruhi 22 Mkoani Shinyanga Jana 2,Juni 2021

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza na majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(kushoto) akisikiliza maelezo ya Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,Dkt.Augustino Maufi baada ya kumtembelea  mmoja wa  majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza  na ndugu wa majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.