Habari za Punde

Rais Mhe Samia azungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu Chamwino


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.