Habari za Punde

Mahafali ya Tisa ya Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, wakati akiwasili katika mahafali ya tisa ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) , Kunduchi, jijini Dar es salaam Julai 22, 2021.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili katika mahafali ya tisa ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) , Kunduchi, jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mahafali ya tisa ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) , yaliyofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi, jijini Dar es salaam 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili katika mahafali ya tisa ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) , Kunduchi, jijini Dar es salaam
Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha ukufunzi, Kanali Mohammed Omar, wa Jeshi la Ulinzi la Nigeria, kwenye mahafali ya tisa ya Chuo hicho, yaliyofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi, jijini Dar es salaam 
Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi medali ya dhahabu ya NDC, ambayo hutolewa kwa Mhitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kwa ufaulu wa juu kwa nyanja zote, kwa Dkt. Daniel Pundu kutoka TAKUKURU, kwenye mahafali ya tisa ya Chuo hicho, yaliyofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi, jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mahafali ya tisa ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) , yaliyofanyika katika chuo hicho kilichopo Kunduchi, jijini Dar es salaam Julai 22, 2021. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.