MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, akiwasili katika ukumbi wa baraza la wawakilishi
Wete, kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika
Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Massoud
Othman, akiwasili katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete, kwa ajili ya
kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
ASKARI Polisi wakiimba wimbo wa Taifa mara baada ya
kuwasili kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyikiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya baraza la Wawakilishi Wete,
kwa ajili ya kuhudhuria baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa lililofanyika Wete
Mkoa wa Kaskazini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete, kuhudhuria hafla ya Baraza la Eid- El-Hajji, kitaifa
lililofanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
WAKE wa Viongozi wa serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar wakiongozwa na Mama MarIam Mwinyi (kulia), katikati ni Mke wa Makamu
wa Pili wa Rais Sharifa Hemed Suleiman, katibu kiongozi wa Baraza la Mapinduzi
Ijinia Zena, wakifuatilia kwa makini hutuba ya baraza la Iddi, lililofanyika
katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete.
BAADHI ya akinamama waalioalikwa katika baraza la
Eid-El-Hajji, huko katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba
BAADHI ya waumini wa dini ya kislamu na wananchi wa
mikoa miwili ya Pemba, wakifuatilia kwa makini hutuba ya baraza la Eid-El-Hajji
iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi huko
katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria ,
Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, akimkaribisha Rais kwa
ajili ya kuhutubia baraza la Eid-El-Hajji kitaifa lililofanyika katika ukumbi
wa baraza la Wawakilishi Wete.
MAWAZIRI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, wakifuatilia baraza la Eid-El-Hajji, lililofanyika katika baraza la
Wawakilishi Wete.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wananchi wa Zanzibar
kupitia baraza la Eid-El-Hajj lililofanyika, katika ukumbi wa baraza la
Wawakilishi Wete.
No comments:
Post a Comment