Habari za Punde

Kamati ya kuchunguza na Kudhibiti hesabu za Serilkali PAC yatembelea jengo jip[ya la Uwanja wa ndege Terminal 3

Mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serilkali PAC mhe Juma Ali Khatib akitoa maelekezo ya kamati kwa Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi baadaya kutembelea na kukagua jengo jipya la uwanja wa Ndege wa Kimataifa Terminal 3 Kisauni.

 Wajumbe wa Kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serikali PAC
wakipatiwa maelezo kutoka kwa maafisa wa mamalaka ya viwanja vya ndege zanzibar kuhusu uendeshaji wa uwanja wa ndege terminal 3.

 Wajumbe wa Kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serikali PAC wakipatiwa maelezo kutoka kwa maafisa wa Mamlaka ya viwanja vya Ndege Zanzibar kuhusu uendeshaji wa Uwanja wa Ndege Terminal 3.


 Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Mhe Rahma Kassim Ali akitoa ufafanuzi kwa kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serikali kuhusu  hatua zinazochukuliwa na wizara katika kuhakikisha uwanja wa Terminal 3 unafikiwa lengo lililokusudiwa .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.