Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahudhuria kikao cha kamati Maalum ya CCM Zanzibar

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM Zanzibar.Mwalimu.Kombo Hassan Juma, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa alipowasili katika viwanja vya Jengo la Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakipiga makofi baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.