Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amekutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Chwamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
PICHA NA IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.