Habari za Punde

Wajumbe kutoka wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT waendelea na ziara Kisiwani Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Pemba, Ali Suleiman Abeid (KUSHOTO), akimuonyesha karafuu gredi ya tatu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT Gabriel J.Migire(kulia), wakati wajumbe kutoka wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT walipofanya ziara Kisiwani Pemba hivi karibuni.

AFISA Mdhamini Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Pemba, Ali Suleiman Abeid (KUSHOTO), akitoa maelezo juu ya zao la karafuu kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT Gabriel J.Migire(kulia), wakati wajumbe kutoka wizara ya Ujenzi na Uchukuzi SMT walipofanya ziara Kisiwani Pemba hivi karibuni.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.