Habari za Punde

NMB Yakabidhi Bima ya Mkono wa Pole Kwa Wanavikundi Kisiwani Pemba.

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Pemba Ndg.Hamad Mussa Msafiri (kushoto), akiwakabidhi shilingi Milioni tatu(3,000,000/=) Wanakikundi cha Umoja ni Nguvu cha Mvumoni Chake Chake Pemba, ikiwa ni Bima ya mkono wa Pole kwa vikundi, inayotolewa na benki ya NBM baada ya mmoja ya Mwanakikundi hicho kufariki dunia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.