MELI ya Kitalii LE BELLOT MATA UTU iliyobeba watalii
69, kutoka Nchini Ufaransa imewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku moja ya
kutembelea maeneo mbali mbali ya vivutio vya Utalii vilivyopo ndani kisiwa cha
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MDHAMINI wa Kamisheni ya Utalii Pemba Hamad Amini
Ali, akizungumza na waandishi wa habari Kutoka vyombo mbali mbali vya habari,
juu ya ujio wa watalii kuutoka 69 kutoka Nchini Ufaransa kwa ziara ya siku moja
ya kutembelea maeneo ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Wete Khatib Juma Mjaja akizungumza
na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada
ya kuwapokea watalii 69 kutoka Nchini Ufaransa kwa ziara ya siku moja ya
kutembelea maeneo ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATALII kutoka nchini Ufaransa wakishuka katika boti maalumu katika bandari ya Mkoani, kwa ajili ya kwa ziara ya siku moja ya kutembelea maeneo ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Mkoani Khatib Juma Mjaja na afisa
Mdhamini Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Pemba Zuhura Mgeni Othoman, katikati
ni Afisa Utalii Salum wakiwapokea watalii kutoka nchini Ufaransa, mara baada ya
kuwasili katika bandari ya Mkoani Kiswani Pemba kwa ziara ya siku moja ya
kutembelea maeneo ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KIKUNDI cha Ngoma ya Mkota Ngoma Kutoka Wilaya ya
Mkoani, wakitoa burudani ya ngoma kwa watalii 69 kutoka nchini Ufaransa
waliowasili Kisiwani Pemba, kwa ziara ya siku moja ya kutembelea maeneo ya
vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATALII kutoka nchini Ufaransa wakiwa katika bandari
ya Mkoani mara baada kuwasili ndani ya Kiswa cha Pemba, kwa ziara ya siku moja
ya kutembelea maeneo ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale
Pemba Zuhura Mgeni Juma, akicheza ngoma ya mkota ngoma na mmoja ya watalii
waliowasili kutoka nchini Ufaransa, kwa ziara ya siku moja ya kutembelea maeneo
ya vivutio vya Utalii vilivyopo Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment